THE NATIONAL EXAMINATIONS COUNCIL OF TANZANIA
BARAZA LA MITIHANI LA TANZANIA
MATOKEO YA KIDATO CHA NNE (CSEE) 2015
Baraza la Mitihani la Tanzania limekuwa likipigiwa simu na watu mbalimbali wakiomba ufafanuzi kuhusu taarifa zinazosambazwa kwenye mitandao ya kijamii kuwa Wizara ya Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi imetangazakuwa matokeo ya Mtihani wa Kidato cha Nne (CSEE) 2015 yamezuiwa kwa muda hadi tarehe 08/03/2016.