Thursday, January 19, 2017

DODOSO KUH MATOKEO YA KIDATO CHA NNE NECTA

THE NATIONAL EXAMINATIONS COUNCIL OF TANZANIA 
BARAZA LA MITIHANI LA TANZANIA

MATOKEO YA KIDATO CHA NNE (CSEE) 2015

Baraza la Mitihani la Tanzania limekuwa likipigiwa simu na watu mbalimbali wakiomba ufafanuzi kuhusu taarifa zinazosambazwa kwenye mitandao ya kijamii kuwa Wizara ya Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi imetangazakuwa matokeo ya Mtihani wa Kidato cha Nne (CSEE) 2015 yamezuiwa kwa muda hadi tarehe 08/03/2016.


Baraza la Mitihani la Tanzania linapenda kuwajulisha watahiniwa na umma kwa ujumla kuwa taarifa hizo ni zaUONGO na zinalenga kupotosha umma na kuleta taharuki.


Hivyo, Baraza linaomba umma kuzipuuza taarifa hizo kwa kuwa Wizara haijasitisha utoaji wa matokeo hayo. Matokeo yatatangazwa mara tu mchakato utakapokamilika.

BOFYA HAPA KUPATA MATOKEO YA KIDATO CHA NNE

3 comments:

  1. How to Make Money From Selling Your Online Casino Account
    Betting on online sports 제왕카지노 betting is easy: Start with a งานออนไลน์ few clicks at the casino, deccasino and enjoy an incredible free money no deposit welcome bonus.

    ReplyDelete
  2. The King Casino - Ventureberg
    The King Casino is herzamanindir.com/ owned by British casino 1xbet app operator Crown Resorts and operated by Crown Resorts. It https://septcasino.com/review/merit-casino/ is owned ventureberg.com/ by British ADDRESS: CASTLE gri-go.com

    ReplyDelete