Thursday, January 19, 2017

DODOSO KUH MATOKEO YA KIDATO CHA NNE NECTA

THE NATIONAL EXAMINATIONS COUNCIL OF TANZANIA 
BARAZA LA MITIHANI LA TANZANIA

MATOKEO YA KIDATO CHA NNE (CSEE) 2015

Baraza la Mitihani la Tanzania limekuwa likipigiwa simu na watu mbalimbali wakiomba ufafanuzi kuhusu taarifa zinazosambazwa kwenye mitandao ya kijamii kuwa Wizara ya Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi imetangazakuwa matokeo ya Mtihani wa Kidato cha Nne (CSEE) 2015 yamezuiwa kwa muda hadi tarehe 08/03/2016.